Eti Anasema Ana Mimba Yangu !..Wataalam Nisaidieni Pliz

Ni kweli nilifanya nae mapenzi siku ya 6 tangu kuanza bleeding,leo ananiambia ujauzito wangu,nimemtoa nduki kwanza....nifanye utafiti kwanza kama inawezekana.....

Eti wadau,siku ya 6 inawezekana kweli?? kwa elimu yangu ya baiolojia kwa vidato sita,,,,,sioni uwezekano kwa kweli....nahisi nataka kubambikiwa mzigo hapa...

Kwa wataalamu wanaofahamu zaidi kuhusu huu utaratibu naomba wanisaidie ufahamu...
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwa utaalamu wako wa kidato cha sita nina mashaka ya kuwa kwenye somo la biology kuhusu"REPRODUCTION"Ulichemsha kwa fikira zako mwanamke kutiwa mimba anahitaji siku mwezi au mwaka?Rudia tena kusoma reproduction au kamuulize tana biology teacher wako ili akufafanulie kiufasaha/kinagaubaga unafanya ngono na demu halafu kavukavu what do you expect an apple or mango?"YOU HAVE TO LIVE AND LEARN YOUND MAN"

    ReplyDelete
  2. Sorry i meant"YOUNG MAN"

    ReplyDelete
  3. Baba kijacho follow me whatsapp for give you advice

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad