Ghana Yawa Nchi Ya Kwanza Afrika Kufuta Katazo La Kutoka Nje


Nchi ya Ghana inekuwa nchi ya kwanza barani afrika kutoa marufuku ya kuzia watu wake kutoka nje kwenye baadhi ya majiji nchini humo

Akitangaza uamuzi huo Leo rais wa Ghana Nana Akufo-Addo amesema wameondoa marufuku hiyo mara baada idadi ya vituo vya kupima wagonjwa nchi humo kuongezwa na hali ya kimaisha ya wananchi wa nchi  hiyo


Rais Nana Akufo-Addo ameondoa marufuku ya watu kutotoka ndani katika Miji ya Accra, Kumasi, Kasoa na Tena ambayo ilifungwa kwa takriban siku 21 ili kuthibiti maambukizi ya ugonjwa wa Covid 19


, Serikali imeanzisha matumizi ya ndege zisizo na rubani (Drones) ili kuokoa muda wa kutuma sampuli za kufanyiwa vipimo. Vilevile, imeongeza uzalishaji wa nguo maalum kwa ajili ya wafanyakazi wa Sekta ya Afya

Hadi kufikia leo, Ghana imerekodi Waathirika 1,042 na vifo 9
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad