Godbless Lema Ashangaa Safari Za Ndege Kufutwa



Mbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya chama ha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godbless Lema ameshangazwa na kitendo cha mamlaka ya usalama wa anga nchini kutangaza kuvunja safari zote za ndege za kimataifa nchini

Lema ameandika kupitia ukurasa wake wa twitter akidai kuwa kitendo hicho ni cha kushangaa kwani Dunia kote ndege zilisha zuiliwa kutoka isipokuwa nchini tu



“Eti Tanzania yafuta safari za nje!!nje gani hiyo?takribani Dunia nzima viwanja vya ndege vimefungwa,nyie mlikuwa mnaenda wapi?au MWANZA,KIA,CHATO,JNIA ndio huku mnaita nje?Dunia ina shangaa tunavyo treat hii PANDEMIC.Hata hivyo imendikwa (Baada ya kiburi ni anguko)” ameandika Lema

Taarifa  ya kufutwa kwa safari za ndege za kimataifa kuingia nchini inakuja siku chache nara baada ya Rais Magufuli kusema  Tanzania haitofunga mipaka kutokana na ugonjwa wa Covid19

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Lema ni 'nyie' au 'sisi'? Kwani wewe si mtanzania? Kama si mtz basi iache tz alone. Kama ni mtz mbona unajitenga na kuanzisha kejeli kt kipindi hiki ambacho umoja wetu ni muhimu sana kuliko ilivyokuwa awali

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huyu Dogo, Mwwachie kama Alivyo,
      Hajijui wa Hajitambui.

      Tumuombee Mungu, kwa Muda uliobakia.

      Inasikitisha Alivyo changayikiwa
      Na Kiwewe juu. Sigala Mbaya.

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad