Habari Njema..Marekani Yaanza Majaribio ya Dawa ya CORONA Kwa Kutumia Chloroquine

Marekani imeanzisha kliniki ya majaribio ya kimatibabu ya dawa inayotumiwa kutibu Malaria ya Chloroquine kutibu ugonjwa wa virusi vya Corona.
Jaribio hilo linalenga wagonjwa 500 waliolazwa hospitalini. Taifa hilo limeripoti visa vya Corona 465,329 na vifo 16,697.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad