Hamisa Mobetto " Sifikirii KUOLEWA na Diamond Platnumz, Nikiwa Nae Labda ni Kikazi au Maswala ya Mtoto"


Hamisa Mobetto amehabarisha Kuwa Bado Msimamo wake upo pale pale kuwa hamuitaji, hampendo, wala hafikirii kuolewa na Diamond Platnumz

"Nikiwa nae basi labda yawe maswala ya kikazi, mziki au maswala ya kuhusiana na mtoto wetu na sio vitu vingine kama wasemavyo watu mitandaoni"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad