Naombeni msaada wenu wakuu kuhusu hii hali inayonisumbua.
Wavulana wa umri Wangu sina hamu nao kabisa na Siwataki kabisa, Napendelea Wale kuanzia Miaka 30 naona ndo wananifikisha, Vijana Wanajisifu sana ila hakuna kitu Kwenye Tukifika Uwanjani ..Ama mie ndo Natatizo ? Naombeni Ushauri.
By Flora
Piga sim Namba hifuatayo, kwa u s a ni 717-330-2349 out of u s a +1717-330-2349
ReplyDeleteupo sawa kabisa..
ReplyDeleteNi hisia zako tufanyeje sasa
ReplyDeletePepo mchafu
ReplyDeleteUshindwe!!!!!!!
ReplyDelete