Harmonize Anyanyua MIKONO Kwa Rosa Ree " Veser Yako Kwenye Bedroom Remix Ni Kama Blue Tiki..."


Harmonize_tz

"Happy Birthday...!!!! @rosa_ree Only Queen 👸 I Know On Dat #HipHop Industry ...!!!! More Money More..!!!! Life Bless Up For Killing Dat Record
Nategemea Kukuona Katika Ngoma Nyingi Na Ulichokifanya Humu Ninaimani Wengi watakuzingatia Zaidi....!!!!!! Na Hata Kukuheshimu Natarajia Kukuona Katika Ngoma Nyingi Za Wasanii Tofauti Kwani Hii Veser Yako Kwenye Bedroom Ni Kama Blue Tiki...!!! Now Ngoma Nyingi Zitamiminika Umeuwa Mama More Life " Harmonize

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad