Harmonize "Nataka Kuimba Taarabu Mwaka Huu"

Tegemea Collabo Muda Wowote Kutoka Kwa HarmonizeTz Kumshirikisha Mzee Yusuphu, HarmonizeTz Anasema Kwa Sasa Anataka Ajaribu Kuimba na Taarabu Ajue Kama Mashabikibi Wake Kama Wata Mpokea Vizuri Au Vibaya, Anasema Pia Yupo Radhi Kufanya Nae Kazi Anamsubiria Mzee Yusuphu Pale Atakapo Rejea Tena Kwenye Game.

Nini Maoni Yako Kuhusu Hili, Unafikiri HarmonizeTz Atapendeza Kuimba Taarabu, Tuambie Hapa Tafadahri?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad