Hatimaye Benki Ya Dunia Yaipatia Tanzania Mkopo wa dola milioni 500
5
April 01, 2020
Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Dunia imeidhinisha mkopo wa dola milioni 500 kwa Tanzania, uliopewa jina la mradi wa uboreshaji wa elimu kwa shule za Sekondari (SEQUIP), ambao utanufaisha wanafunzi milioni 6.5, kwa kuhakikisha wanafunzi wanasoma na kumaliza elimu yao katika mazingira bora.
Akizungumza wakati wa Mkutano huo Mkurugenzi mkaazi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania Mara Warwick, amesema kuwa hiyo ni hatua muhimu ya kuweza kukabiliana na changamoto za kielimu wanazokumbana nazo watoto.
"Kila mtoto nchini Tanzania anastahili kupata elimu nzuri, lakini maelfu wananyimwa fursa hii ya kubadilisha maisha kila mwaka, mradi huu umetoa kipaumbele zaidi kwa watoto hawa katika kupata haki yao ya msingi ya elimu na kuweka mazingira mazuri kwa watoto wa kike" ameeleza Warwick.
Tags
Jitto Zumbli Kambwe, Umeumbuka na Nia yako Ovu.
ReplyDeleteTena ataumbuka sana, Mtafuta kiki Binafsi na unlawful kipato.
DeleteViwanja vya Kigamboni Faili lake tutalisogeza kwa Mbogo na Jiwe uilouza/Zawadiwa ughaibuni pia
utalitoea Puani.
Ndiyo maana Yeremia na kundi la wenzake wameamua kujitema na genge lako. Ado Bado njia panda.
Uhakiki na upekkenyuaji unaendelea kiwemo ulipaji ada stahiki wa chama feki na uzaisaji alamu wa urecooded kadi.
Kisutu ulisha kenda. ostabei waakungja baada ya kuujinasibisha kazi ya Dkt. Abbas. Mchukua Ajila Kinyemela.
Dogo ..!!
ReplyDeleteulisafiri kwa Nia na Lengo lkupotosha.
Baada ya Nchi ulio Zamia, kukupa Hifadhi na Usalama na kukusaidiia kukusomesha kwa pesa zetu walipa Kodi.
Kumbuka Allah hasimammi na Madhalimm hata Siku Moja.
Alhamd llah zimeepatika katika Awamu ya Uadilifu awamu ya JPJM.
Rest assured . Zitatumia panapo husika. Au wewe unataka uwe mpagaji??
Mwaya, Kama kuna ukuta karibu, JIPIGE.
ReplyDeleteNakumbuka Kipenzi chetu ( JPJM) Alisema
ReplyDeletehawa wengine Msiwajibu.
Ama kweli, Hili ndiyo JIBU LAIVU kwa Kilaza mdandia Mada na Kopy keti wa Twita/Fezibuku/tik toku na waziup.
Hivyo kwa sasa anaishi Jimbo la Mh yupi?
Stimulasi pester...FURUKUTA YA HUNDAA.