Hatimaye kero ya barabara Msewe yatatuliwa


Hatimaye barabara ambayo ilikuwa ni kero ya muda mrefu kwa Wakazi wa Ubungo ya Kibo kuelekea Ubungo Msewe imeanza kurekebishwa .

Meya wa Ubungo Boniface Jacob  "Jitihada kubwa za Halmashauri kutenga fedha na kupeleka TARURA na hela ilikuwepo tumewa-push TARURA kwenye vikao, hatimaye kazi inafanywa na Mkandarasi MPEHA kwa Million 154 katika Barabara
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad