Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya, amesema kuwa hana mpango wowote wa kugombea Ubunge wa Jimbo la Hai, kwa kuwa imani aliyopewa na Rais Magufuli juu ya kuwatumikia wananchi wake ni kubwa na ataendelea kuifanya kwa uadilifu mkubwa.
Hayo ameyabainisha wakati alipofanya mazungumzo maalum na EATV&EA Radio Digital, ambapo mwandishi wake alimhoji kama anayo nia ya kumpiku Mbunge wa Jimbo la Hai Freeman Mbowe.
"Hapana sina mpango huo, natamani kuendelea kuwahudumia wananchi kwa heshima aliyonipa Mheshimiwa Rais inanitosha, kuhakikisha wananchi hawa wanapata haki zao kwa sababu ndiyo matamanio makubwa ya Rais Magufuli na kazi hii naifanya kwa uaminifu na uadilifu mkubwa, sijamaliza hii kazi aliyonipa sasa Ubunge wa nini mimi" amesema Sabaya.
Ole Sabaya, Kijana Mchapa Kazi umetufanyia mengi Wana Hai na Kuendeleza maisha ya Uhai wetu.
ReplyDeleteTumejuta na Tunajuta, Kuwachagua watu na kutukia toka Hai kwenda mjini na wanakuja kama watalii na kuondoka Hai bila kututatulia Adha Zetu wala kutaka kujua ni Zipi.
ila wewe Mh Sabaya umeonesha Roho ya Imani na Kututumikia Ipasavyo.
Jimbo letu liko wazi na Sisi Wana Hai tunkukaribisha Kulichukua Jimbo letu ili uendeleze uliyo yaanzisha na Kutuyumikia hapa Hai.
Karibu sana Hai njia na Jimbo liko wazi kwa ajili yako..!!
Karibu sana Mheshimiwa. Uadilifu wako na Uchapa kazi wako ..
Ni Msukumo tosha sisi kukuamini katika Mioyo yetu. Karibu sana.