Hatimaye PSG Yatangazwa kuwa Mabingwa Baada ya Ligi ya Ufaransa Kufutwa


Ikiwa ni siku chache tu baada ya Serikali ya ufaransa kupiga marufuku Mikusanyiko yoyote mpaka mwezi September mwaka Huu, S hirikisho la soka Ufaransa limeitangaza club ya PSG kuwa ndio Mabingwa wa Ligi Kuu nchini humo (Ligue 1) 2019/20 .
.
Na pia Shirikisho hilo limesema msimamo wa Ligi ulipofikia ndio unatambulika kama mwisho wa msimu.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad