Haya hapaa!!!Mambo Zari,Hamisa na Tanasha wanapaswa kufanya ili kumfunza Diamond adabu


Kwa hakika Diamond ni ‘father Abraham’ jina ambalo alipewa na mashabiki wake baada ya kuwa na watoto na baby mama watatu.

Miezi kadhaa waliachana na aliyekuwa mpenzi wake Tanasha huku mengi yakisemwa kuwahusu, huku wengi wakimulaumu mama Dangote kwa mambo yote ambayo mwanawe amekuwa akiwafanyia wasichana wa wenyewe.

Ni ukweli sisi si makatibu wa baby mama wake, wa kwanza alikuwa zari ambaye walibarikiwa na watoto wawili na Diamond huku wakitemana baada ya Zari kumfichua kuwa si baba mzuri au hatekelezi majukumu yake kama baba.

Hamisa ndiye babay mama wa Diamond wa pili huu wakiachana baada ya kubarikiwa na mtoto wa kiume.

Hasa wa watatu watu wanamfahamu sana kwa sababu walitoa wimbo naye na ambaye ni Tanasha kutoka humu nchini, haya hapa mambo ambayo wanapaswa kufanya ili kumfunza simba adabu

Wawe na mafanikio
Badala ya kuachana na kisha waanze kulia na hata kujifungia kwa chumba chao, watoke nje na waanze kufanya kazi kwa ajili ya watoto wao ili wafanikishe ndoto zao.

Hamna kitu huwa kinamuuma mwanaume akiona humwitaji tena katika maisha wala humtegemei


Zari alipoona hamna maisha kati yake na Diamond alimtema kama takataka au kitu ambacho hakina maana

Hamisa akiwa katika mahojiano alisema hana haja ya kurudiana na Diamond, na hajapata mchumba wa kupendeza roho yake

Tanasha anajaribu kuendeleza maisha yake lakini machungu anayo bado ushauri wangu kwake ni enedelea na maisha kama kawaida kama vile wale wengine wameendelea.

Wapeni watoto wenu maisha mema na chochote watakacho taka

Njia nyingine ya kumpa Diamond adabu ni hakikisheni watoto wenu wanaishi maisha ya kifahari na kuwapa ambacho wanataka katika maisha yao


Kuweni na chanya kila wakati

Watatu hao wakiwa na mafikira ya kusaidia kila wakati hamna kitu chochote ambacho kitawarudisha nyuma wala kuwafanya walie na kumfikiria Diamond.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad