Hemed Phd Aongea Dharau... Asema Hamisa na Zari kwake ni Wakawaida Sanaa Hawamshtui

Hemed Phd Aongea Dharau... Asema Warembo Hamisa Mobetto na Zari Hassan ambao wote wamezaa na Diamond Platnumz kwake ni wakawaida sanaa Hawamshtui mtima wake...Lakini akilazimishwa kuchagua basa atamchagua Hamisa Mobetto kwasababu ni kutoka Bongo Nyumbani

Ameyasema hayo akiojiwa katika kipindi cha Bar Tender cha Wasafi TV na Mtangazaji Jonijo

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. NAKUBALIANA NAE HUYU DOGO...
    ANAKULA VITU VYA KIWANGO. KWALITY.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad