Inasemekana Harmonize Yupo Na Mrembo Nicole Ni Week Sasa Inaaenda...Sarah Avamia Nyumbani Kwa Nicole Kudai Mume Wake



UMBEA WAMOTO HUU HAPA !!! Umeletwa na Mdau Kutoka DM, Inasemekana HarmonizeTz Yupo Na Nicolejayberry Ni Week Sasa Inaaenda.
_
Raraha, Mke wa HarmonizeTz Ameenda Mpka Nyumbani Kwake Anapo Ishi Nicolejayberry Kumstumu Kwa Nini Akae Na Mumewe Ikiwa Teyari Amesha Kwisha Fanya Kazi Nae Ya Uvideo Vixen?
_
Hapo chini Kwenye Video Hiyo Ni Sauti Ya Mke Wa HarmonizeTz Sarah, Anagonga Mlango Na Amezuiliwa kuingia Ndani na HarmonizeTz Yupo Ndani na Nicolejayberry Wanakula Bata la STAY AT HOME.!!!

VIDEO:


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad