Inasemekana JACK PATRICK Anarudi Bongo Hivi Karibuni


Inasemekana JACK PATRICK Anarudi Bongo Hivi karibuni.... Piga kelelee kwa Jack Akeee
Kama unakumbukumbu nzuri Jack alishawahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Juma Jux Miaka kadhaa nyuma kabla ya Jack Kukamatwa akiwa na Madawa ya Kulevya na Kufungwa Jela

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad