Je Wajua Kwa Nini Malkia Elizabeth Husherehekea Siku Yake Ya Kuzaliwa Mara Mbili

 
Leo Tarehe 21 April Malkia wa Uingereza Elizabeth amesherehekea miaka 94 ya kuzaliwa kwake lakini cha kushangaxa kwa wengi ni kwamba sherehe hii ya sasa haiwahusu raia wakawaida

Kwa kawaida Malkia anakuwa anasherehekea siku hii mara mbili kwa mwaka moja ambayo ni siku yake ya kawaida yaani Tarehe 21 April na nyingine huwa ni mwezi mei

Sababu kubwa ya Malkia Elizabeth Kuwa na siku mbili za kuzaliwa kwa mwaka ni kwamba kwa kawaida tarehe aliyozaliwa malkia kwa nchi ya Uingereza hali ya hewa huwa ni ya mvua na hayaruhusu watu kushereheka hivyo mnamo miaka ya 1750 taifa hilo liliamua kuwa na sherehe hiyo mara mbili wananchi nao wafurahi na kiongozi wao

Sherehe za mwezi wa nne kwa kawaida huwa na maandamano ya gwalide kwa malkia pamoja na wanafamilia wote wa ukoo wa kifalne lakini sherehe za mwaka huuhaitafanywa hivyo kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa Corona

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad