Jonijoo Amkimbia Diamond Wasafi, Atua Katika Redio Hii na Kukaribishwa kwa Staili ya Aina yake – Video


Aliyekuwa Mtangazaji wa Wasafi media @jonijooo ameondoka katika kituo hicho na kukaribishwa #EFM na mkurugenzi wa kituo hicho @majizzo

Ujumbe wa Majizo ukiambatana na Video umesomeka hivi:-

“@jonijooo : Unasema mitaa imekulea, Naomba Nikukaribishe kwetu Waswahili Tuliotumwa na mtaa. Natambua uwezo wako, njoo Tulisongeshe.

Mimi #CEO wa Waswahili nikupe tu taarifa kwamba Hatuna Shughuli ndogo. Kuanzia leo @efmtanzania na @tvetanzania ndio familia yako. Karibu sana.”


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad