JUMANNE IDDI Awachana BSS...Kuna Tatizo Kubwa Sana Pale Niliwashauri Waache Janja Janja


Mshindi wa kwanza wa shindano la BSS Jumanne Iddi aibuka na kuwapa zauso waandaaji wa mashindano hayo baada ya kutajwa kuzurumu pesa za mshindi wa BSS  mwaka jana. Jumanne Iddi amesema kuwa wanapaswa kumlipa mapema iwezekanavyo

VIDEO:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad