No title



KATIKA mapambano ya kukabiliana na maambukizi ya virusi vya corona, moja njia inayopendekezwa ni matumizi ya vipukusi (sanitizers) ambavyo huua vijidudu.


Lakini vipukusi hivi vimeanzia wapi? Ni nani aliyenyuma ya ugunduzi huu unaosaidia kuokoa maelfu ya maisha ya watu?

Lupe Hernandez ni muuguzi kutoka nchini Marekani ambaye akiwa mwanafunzi wa kada hiyo mwaka 1966 ndiye aligundua vipukusi.

Hernandez alifanya ugunduzi huo wakati akiwa akisoma katika Bakerfield, California. Alibaini kuwa kitu chenye kiwango cha kileo kati ya 60%-65% kinaweza kutumika kama kisafisha.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad