Kauli ya RICH Mavoko Alivyotoka WCB Yamtafuna Mwenyewe "Nimeondoka WCB Wasafi Kwa Kuwekwa Muda Mrefu Bila Kutoa Nyimbo"

Tujadiri Hili Kidogo. Tukiachana na Hiyo Kauli Yake Aliosema:- "Nimeondoka WCB Wasafi Kwa Kuwekwa Muda Mrefu Bila Ya Kutoa Nyimbo, Wanyonyaji, Wanathamini Muda Wao Tu"

Toka Rich Mavoko ametoka WCB Mwendo wake wa kutoa nyimbo umekuwa mdogo sana unaambiwa ni afadhali alipokuwa WCB angalau alikuwa anatoa Nyimbo

Wewe Kama Shabiki wa Bongofleva Hapa Tanzania, Unadhani @richmavoko Anautendea Haki Mziki wa Bongofleva/Mashabiki Zake Kukaa Muda Mtefu Tangu Januari

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad