KAYUMBA BSS: Nilipewa GARI SKREPA/ Nimedhulumiwa NYUMBA/ Madam Ritha TUNAMDAI mpaka laki 5 ya SHOW



MSHINDI WA BSS MWAKA 2015 Kayumba amefunguka ya moyoni figisu alizofanyiwa kwenye zawadi zake ikiwa alikabidhiwa vitu ambavyo akiangalia gharama yake haifiki milioni 50. ameongezea na kusema hamlaumu sana Madam Ritha maana huwenda yeye anatoa Zawadi alafu watu wanafanya ujanja amemuomba awe makini na watu anaowapa Zawadi wawakabidhi washindi.

VIDEO:

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hapana.
    Haiwezekani, Katika Awamu hii ya Tano
    hatuwezi kufumbia maccho hili jambo

    la Dhuluma.

    Tuna omba washindi wote wenye malalamiko kama haya watufikishie kimaandissho ili tuweze kuyashughulikia hara ipasavyo.

    Na kuweza kuzuia immovable properties za watuhumiwa wote. while investigations process willl be going on.

    TAFADHALINI MMJITOKEZE WADHULUMIWA KAMA KAYUMBA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Siamini Mpaka Laki5 pia mmekunywa.... Mlipeni huyo chipukizi
      Muogopeni Mungu.. Msipofanya hivyo.

      Basi sheria itachukua mkondo wake msitulaumu..!!

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad