Khadija Kopa "Msiniulize Maswali Kuhusu Zuchu Ameshasajiliwa WCB..Kwanza Mimi Nataka Acha Mziki"

Khadija Kopa, Mama Mzazi wa Msanii Mpya wa WCB @officailzuchu, Amesama;- "Niulize Maswali Mimi, Usiniulize Kuhuzu Mwanangu Zuchu, Amesha Sajiriwa Basi Tumpe Support, Ungekua Unamuhitaji Ungemfwata, Kwanza na Mziki Wenyewe Nataka Kuacha"

Kutokana na Maelezo ya Mama Mzazi Wa Msanii Mpya wa WCB @officailzuchu, Nini Maoni Yako Kuhusu Swala Hili? Umegundu Nini Kutoka Kwa Khadija Kopa Kusema Vile Kwa Mtoto Wake? TUAMBIE HAPA TAFADHARI.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad