Killy "Mama Yangu Alikuwa Hafurahishwi Mimi Kuwa Kings Music
0
April 21, 2020
“Mama yangu alikuwa hafurahishwi na mimi kuwa Kings Music kwa sababu ya masuala ya kazi na maisha, na mama yangu mimi na mama yake Cheed huwa wanazungumza na ni marafiki” Killy amefunguka
Baadhi ya Comments za Wadau Huko Mitandaoni
Josbor Sylves Sylves Wako kama wadangaji akija geto akikuta limejaa vitu anaomba ndoa ukimuoa ana beba vitu vya geto anarudi kwao anakwambia Mimi na wewe basi asee
Tatu Mashaka Usisahau ulikotoka usijepotea unakokwenda
Ally Lupembe Killy umemponza chidi wewe ndo unaonekana kidomodomo shankupe mdangajitu
Siku John Basi uyo mama yako ana matatizo makubwa kuliko shida ulizonazo wewe.
Meddy Classic Rajabu Killy usipate mwiko ukadharau kijiko
Tags