Kings Music Waanza Fujo za Kumtambulisha Msanii Mpya Tommy Flavour


Labo hiyo imetoa taarifa hiyo ikiwa siku chache baada ya wasanii wake wawili Killy na Chead kutangaza kuachana na lebo hiyo. “It’s official kwamba this Friday @kingsmusicrecords inamtambulisha rasmi @tommyflavour kwenye music industry. Kuwa wa kwanza kusikiliza na kuangalia kazi zake mpya kwa subscribe kwenye Youtube Channel ya Tommy Flavour – Link on his BIO. 🎥 @chanenoo

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad