Korea Kaskazini: Hadi leo hatuna mgonjwa mwenye corona




Korea Kaskazini imesisitiza kwamba hadi leo haina hata mgonjwa mmoja mwenye corona licha ya ugonjwa huo kusambaa Duniani, Wizara ya Afya ya Nchi hiyo imesema tahadhari za mapema zimewasaidia kuwa salama

 “Siri ya mafanikio ni tahadhari ya mapema kimyakimya bila mbwembwe, corona ilipoanza China tukafunga mipaka, Bandari na Airport, kila mgeni akawekwa karantini”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad