Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema ametaka rais John Magufuli pamoja ma waziri wa afya nhini Ummy Mwalimu kusikiliza ushauri unaotolewa na wapinzani juu ya janga la Corona
Lema ameandika kwenye ukurasa wake rasmi wa mtandao wa kijamii wa Twitter akisema kuwa wapinzani nao wanaipenda sana nchi
“Waziri Ummy Mwalimu na Mheshimiwa Rais Magufili Tusikilizeni ata kidogo….sisi ni Watanzania pia,We love this country so much…mnaumiza Nchi kwa kukataa ushauri wetu kwa vile sisi ni Wapinzani?”
Hapo Jana Rais Magufuli alitahaza nchi kutumia siku tatu zijazo yaani Iju
@umwalimu @MagufuliJP Tusikilizeni ata kidogo....sisi ni Watz pia,We love this country so much...mnaumiza Nchi kwa kukataa ushauri wetu kwa vile sisi ni Wapinzani ?— Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) April 16, 2020