Lema Ataka Jambo Moja Kubwa Lifanyike Ili Kukabilina Na Corona Nchini


Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema ametaka rais John Magufuli pamoja ma waziri wa afya nhini Ummy Mwalimu kusikiliza ushauri unaotolewa na wapinzani juu ya janga la Corona

Lema ameandika kwenye ukurasa wake rasmi wa mtandao wa kijamii wa Twitter akisema kuwa wapinzani nao wanaipenda sana nchi


“Waziri Ummy Mwalimu na Mheshimiwa Rais Magufili Tusikilizeni ata kidogo….sisi ni Watanzania pia,We love this country so much…mnaumiza Nchi kwa kukataa ushauri wetu kwa vile sisi ni Wapinzani?”

Hapo Jana Rais Magufuli alitahaza nchi kutumia siku tatu zijazo yaani Iju

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad