Lema "Natoka Dodoma Bungeni kwenda Arusha Kusalimia Familia Je Nitakaa Karantini Kwanza?"


Mbunge wa Arusha mjini (Chadema), Godbless Lema, amesema watu wanatoka nje ya nchi wanakaa karantini kwa sababu wanaamini nchi wanazotoka zina maambukizi ya Corona.

“Sasa ugonjwa upo ndani natoka Dodoma Bungeni kwenda Arusha kusalimia familia je nitakaa karantini kwanza,” alihoji Lema.

Lema aliandika ujumbe huo katika ukurasa wake wa Twitter kuwa inahitajika kufikiri sana hilo tatizo ni kubwa.

“Watu wanao toka nje ya nchi wanakaa karantini kwa sababu tuna amini kuwa nchi wanazotoka zina maambukizi ya Corona virus. Sasa ugonjwa huko ndani. Natoka bungeni kwenda Arusha kusalimia familia je nitakaa karantini kwanza. Tunapaswa kufikiri sana hili tatizo ni kubwa sana,” aliandika Lema.
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. WALA USIENDE KUSALIMIA.
    UKIONDO DODOMA NDIO KIMOJA.

    JIMBO LA KUKURUDISHA BUNGENI HUNA.
    WELEDI NA UELEWA WA KUWA MUHESHIMIWA HUNA.

    SIFA NA MANTIKI YA KUKUFANYA URUDI HUNA.

    UKIONDOKA FUNGASHA VILAGO VYAKO UENDE
    KUANZISHA LISHE YA MTORI STENDI CHONDE CHONDE USAFI NI KITU MUHIMU WAKATI HUU WA KOLONA. LESENI / AU KADI YA MJASIRI AMALI UKAIOMBE KWA MKURUGENZI AU KWA MH.GAMBO. DODOMA ISAHAU.

    ReplyDelete
  2. WALA USIENDE KUSALIMIA.
    UKIONDOKA DODOMA NDIO KIMOJA.

    JIMBO LA KUKURUDISHA BUNGENI HUNA.
    WELEDI NA UELEWA WA KUWA MUHESHIMIWA HUNA.

    SIFA NA MANTIKI YA KUKUFANYA URUDI HUNA.

    UKIONDOKA FUNGASHA VILAGO VYAKO UENDE
    KUANZISHA LISHE YA MTORI STENDI CHONDE CHONDE USAFI NI KITU MUHIMU WAKATI HUU WA KOLONA. LESENI / AU KADI YA MJASIRI AMALI UKAIOMBE KWA MKURUGENZI AU KWA MH.GAMBO. DODOMA ISAHAU.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad