Lulu Akata Kidomo Domo Wadau Waliokuwa Wanasema Ana Roho Mbaya..Angalia VIDEO Akionesha Upendo Kwa Mtoto wa Hamisa Mobeto



Mbali na kwamba mitandaoni kulikuwa na mijadala ambayo mashabiki wakimshtumu Elizabeth Michael kutomjali Mtoto wa mrembo Hamisa Mobetto aitwae Fansy, sasa mwigizaji huyo leo April 11, 2020 alipost baadhi ya picha na Video zikimuonesha akiwa na mtoto huyo zikiashiria kuwa anamjali kama mwanae wa kumzaa

VIDEO:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad