Machungu Yamfanya Tanasha Donna Abadili DINI na Kuwa Mwislamu – Athibitisha safari yake mpya katika Uislamu



Awali kabla ya kuachana na mwanamuziki wa TZ Diamond Platinumz, Tanasha alikuwa ameripotiwa kusilimu baada ya dadake Diamond Esma  kudai kwamba msanii huyo alikuwa tayari amesilimu alipokuwa katika uhusiano na Diamond .


Tanasha hata hivyo amekuwa kimya kuhusu hilo lakini mwanahabari wa  KTN Jamal Gaddafi ndiye aliyebainisha na kuthibitisha wazi kwamba ni kweli Tanasha sasa ni muislamu na pia atakuwa katika mfungo mwezi huu wa ramadhan .

KUCHAPIWA...Nawaonea Huruma WANAUME Ambayo Hawaendi GYM na Wanawaruhusu Wake zao Kwenda Gym


Gaddafi aliiweka picha akiwa na Tanasha wakati wa iftar akisema ndio ilikuwa iftar ya kwanza ya Tanasha, sasa Aisha .

Jamal  pia aliwapa rai waislamu wengine kumuunga mkono Aisha katika safari yake mpya kwenye uislamu


hanif_physique
Some will be soooo fast to judge. Kuweeni wapole and support her. Si kaazi yeeenu kumuhukumu but as a Muslim I should be friendly to her and welcome her sio faster mwatafuuuta kasoooro.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Aisha..Allah amekuhidi na kukurudisha ktkk njia ilionyooka.

    Kuwa Na Imaan na Subira @ All time.
    Kheri yako na Ushindii wako uko Karibu than you feel .

    Ramadhan Kareem

    kwako na Ukhiti Surraiya (former Sanchword) wa bilah masir
    wa tawfiq.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad