Magufuli "Shonda Mask Yako Tumia, Tuwe Makini Sana na Mask Kutoka Nje"


Katika kikao chake na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama huko Chato jioni hii, Rais Dkt Magufuli amesema ni wakati wa kuwa makini na bidhaa tunazoletewa kutoka nje (Zawadi/Misaada). Amewataka wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama kujiridhisha kama barakoa zinazotoka nje ni salama. Rais Dkt Magufuli amewapongeza Watanzania wanaochukua hatua ya kutengeneza 'mask' zao zikiwemo zile za kushona.
.
"Shona mask yako, tumia... " Rais Dkt Magufuli.
.
#KutokaChato 
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad