Maji Maji Ukeni Kama Mtindi Yananikera, je ni Uchafu? Nahisi Kumuacha

Mpenzi wangu ana majimaji meupe kama mtindi ulioganda na unatoka kwa mabonge bonge wakati tukiwa tunafanya yetu, Nimejaribu sana kumwambia ajisafishe vizuri sana lakini hayaishi, sasa nashindwa kuelewa  je ni uchafu wa kawaida kwa mwanamke ? Au ni Ugonjwa ? Naomba Ushauri kwa Anayejua Utatuzi wa Tatizo Hili
Tags

Post a Comment

28 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Uchafu huo! Ajisafishe kwa kidole ukeni na maji mengi kila siku!

    ReplyDelete
  2. pole sana.kama yapo kama maziwa mgando na meng huenda ikawa ni fungus.usimuache,mpe ushirikiano wa kumuona DR.

    ReplyDelete
  3. hzo ni shahawa za wanawake. we mgeni na mambo hayo nini? mwanamke ana shahawa nzito, tena nyeupe kama unavyosema. au hutaki apizi?

    ReplyDelete
  4. hee jaman mbona naambiwa kujisafisha na kidole ni hatarii mwe sasa nisikie la nani??

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni hatari kweli nenda kajisafishe na mboo!

      Delete
  5. ndo kukojoa kwa mwanamke ndo maana watu wengi wanashindwa kukojoza mwanamke yaani wewe ukikojoa tu basi umemaliza haja yako, kumbe mwenzio nae lazima akojoe pole sana kaka.

    ReplyDelete
  6. mademu wanaotokwa na maji maji kwenye kuma ni kwa sababu ya kutombwa tombwa ovyo na kila mtu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hujasoma biology ww s kosa lako.
      .

      Delete
  7. Na yanatoa harufu au??

    ReplyDelete
  8. Huyo demu hajui kulisafisha kuma lake ni mchafu loo!

    ReplyDelete
  9. Pole sana kwa tatizo hilo. Hizo ni fangasi na zinatibika. Aende akamuine docta tatizo linaisha kabisa namtafurahia maisha. Na ikiwezekana amuone docta wa matatizo ya wanawake.Fangasi huwa zinasumbua sana ajitahidi aende hospital tatizo linaisha kabisaaaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kweli hao ni fangus wa siku nyingi akamuone doctor atapona kabisa

      Delete
    2. Kama n fangasi lazima yatakuwa yanawasha na kunuka lakin kama ni kawaida si fangas ajioshe tu vizur kila siku asbuhi. Ndo inafaa zaidi.

      Delete
  10. Piga sim Namba ifuatayo kwa nje ya U S A.Anza Na +1717-330-2349.kwa ndani ya U S A.717-330-2349. Dr LU.

    ReplyDelete
  11. Izo ni fungus.

    ReplyDelete
  12. Jamn achen kumpotosha mwenzenu mwambie huyo dada aende hospt coz iyo ni fangaz na inakula mpaka kizaz na ukiona anatoka uchafu huo ujue imekuwa sugu

    ReplyDelete
  13. Elumu ya biology imekupiga chenga.

    ReplyDelete
  14. Kaka ukiona mwanamk anatokwa city km hvy halafu hakuna harufu ujue ni shahawa tan mpk ukiona mwnamk kafikia halo ujue karidhk na kitaalam wanaziita hizo shahawa ni Orgasm

    ReplyDelete
  15. Ajisafishe co kila siku tu ila kila akienda haja ndogo ajipigevidole vizuri

    ReplyDelete
  16. Kweli watu wengi hawajui mapenzi..hayo ni majimaj yanayofany uume upite kwa urahisi angalia movie za ex Za ulaya..jamani acheni ushamba jifunzeni mapenzi muwaridhishe wake zenu mnajua kuparamia tu kama mbuzi

    ReplyDelete
  17. Nikupe ushauri mimi ilishanitokea kwa b.f wangu wa kwanza hakunifundisha swala la kujisafisha. hizi zinakua ni shahawa za kike na kiume zinaganda baadae husababisha fungus. b.f wangu alikuwa muelewa tulienda pamoja hosp na dr akanishauri mkimaliza nijisafishe kwa maji tu bila sabuni. nikapewa dawa after 2 wks nikapona hadi leo sijaona tatizo. nashukuru mwanaume alikua pamoja nami. nenda nae hosp sio kila mtu anaelewa afanye nn

    ReplyDelete
    Replies
    1. Bado uko nae au mmebwagana shost manake mjini hapa mmh!

      Delete
  18. Naomba niwasaidieni, haswa vijana wengi ambao hawajui hatua za mwanamke kukojo. Maji maji mazito kama maziwa hiyo ni kuwa huyo mwanamke amekojoa Orgasm, hivyo ujue kuwa huwa una mridhisha vya kutosha huyo mpenzi wako hadi anafikia hatua hiyo. Hatua ya pili ya mwanamke ni kutoa maji maji meupe kabisa kama maji ya kunywa, na huwa yanaruka kana kwamba anatoa mkojo, hiyo ni squirting, ni wanawake wachache sana wanaofikia hatua hiyo, kuna sababu zake za kutofika hapo, ila ukimfikisha mwanamke yeyote hapo piga ua, hakuachi. Kwahiyo mdogo wangu, huyo mwanamke unampa raha ya kutosha wala wasikudanganye kuwa ni uchafu.

    ReplyDelete
  19. Jamani hiyo ni fungus inaitwa Vaginal Candidiasis kwa jina la kitaalam, anahitaji kumuona daktari. na swala la wanawake kujisafisha uke kwa kuingiza vidole sio zuri maana ndio wanapelekea fungus hao kuzaliana kwa wingi. mwanamke unahutaji kusafisha uke kawaida na maji safi sio kujiingiza vidole. wakaka na wadada achene kudanganyana kuwa hiyo ni orgasm, sio sababu orgasm maji yake hayawi kama maziwa ya mgando.
    Uliyeuliza nadhani utafuata ushauri huu maana umetolewa kwako bure na daktari.

    ReplyDelete
  20. Naombenu mnisaidie na mm mwenzangu huwa nikiwa namuandaa kabla ya tendo huwa yanatokea hayo maji meupe kma mtindi yanateleza na kutoa harufu kama shombo ya samaki mpaka inasababisha mimi kukosa hamu ya kuendelea na tendo.. na sio kwa huyu nilienaye tu pia na wengine waliopita ilikuwa ivo sasa tatizo inakuwa ni nn??

    ReplyDelete
  21. Nawashauri mfahamu kwamba majimaji meupe hizo huwa ni shahawa tena zingine huwa nzito kama dafu kwa hiyo msiwanyanyapae mama zetu. harufu mbaya hiyo ni uchafu wake mwenyewe wako madada wachafu wasiyojua kunawa sehemu zao za siri

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad