Mama Dangote Amnyemelea Zuchu Kwa Mondi "Zuchu Yupo Damuni, Nampenda Sana Huyo Mtoto"


MAMA mzazi wa Superstar wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, Mama Dangote, amesema kuwa kwa namna ambayo anampenda memba mpya wa WCB, Zuchu ni zaidi ya upendo wa kawaida.

Mama Dangote kayasema hayo mara baada ya juzi Alhamisi kuweka posti katika ukurasa wake wa Instagram na kuandika ujumbe mzito ambapo baadhi ya maneno yalisomeka kuwa: “Yaani ukiikata damu yangu unamkuta huyu mtoto Zuchu.

”Zuchu ni msanii mpya aliyetambulishwa kweye Lebo ya WCB, juzi Jumatano na tayari ana mkwaju wake mmoja unaoitwa Wana. Zuchu ni mtoto wa malkia wa mipasho Bongo, Khadija Kopa.
Akizungumza na Championi Jumamosi,Mama Dangote alifunguka juu ya maana aliyokusudia katika posti yake hiyo, alisema: “Mwache atambe huyo binti nampenda sana, tamba tamba, kanyanga kanyanga, sijui nikagongee

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Atamyemeleaje..?

    Kwani Anko Samte yuko wapi.?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad