Mamlaka ya Usalama wa Anga nchini Tanzania Yafuta safari zote za ndege za abiria za kimataifa ili kukabiliana na Corona


Mamlaka ya Usalama wa Anga nchini imefuta safari za ndege zote za abiria za kimataifa na kuweka vikwazo zaidi kwa ndege maalum za mizigo zitakazoruhusiwa kutua nchini. Hii ni hatua nyingine ya kupambana na Ugonjwa wa Covid-19.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad