Mange Kimambi Amchana Diva Loveness Amwita Kigagula "Tabia ya Kujitangaza Unalala na Fulani Utaishia Kuoa Sio Kuolewa


Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Mange Kimambi amefunguka Kuhusu Diva Loveness Baada ya Kujitangaza wazi wazi kuwa alikuwa anatoka na Ali Kiba Kimapenzi:

Mangekimambi_
"Ushauri tu, mwanamke hata ulale na Brad Pitt it’s never a good look kuadmit hadharani. Yani kama mlikuwa mnakulana kimya kimya, hiyo ni siri yako nenda nayo kaburini. Mkiendelea na tabia hii ya kujitangaza hadharani ulikuwa unalalwa na flani mtaishia kuoa sio kuolewa.Meaning itafika sehemu utakosa mume itabidi ubebe mwanaume suruali ukamlee. Wanawake mnajidhalilisha.

Ila vigagula tunanyanyapaliwa sana, vyombo husika viingilie kati"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad