Marekani Kuchunguza Tuhuma za Virusi vya corona Kukuzwa Maabara China


Rais Trump amesema Marekani inachunguza tuhuma za kwamba virusi vya corona vilikuzwa katika maabara Wuhan,China na havikuanzia sokoni katika mji huo,

 Ubalozi wa Marekani nchini China umehoji usalama wa Maabara mbili zinazoshukiwa Wuhan, Idara ya Ujajusi Marekani nayo inaamini huenda corona sio janga la kawaida.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad