Maumivu Makali Ukeni Wakati wa Tendo la Ndoa.....


Habari zenu jamani,

Mwenzeni ninatatizo yaani toka nijue mapenzi sijawahi kufurahia tendo hilo. Kila nikifanya mapenzi napata maumivu makali mno muda mwingine nahisi maumivu hadi kwenye kizazi. Nikimaliza tu maumivu siyapati mpaka nikifanya tena. Nifanyeje jamani, msinitukane tafadhali.

Karibuni kwa ushauri
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. nenda kawaone madokta nadhani umepata infection kwenye mirija ya uzazi uume ukiingia unagusa madonda yale pls kajitibu my..

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad