Mbunge Joseph Selasini ajiondoa CHADEMA ahamia NCCR-Mageuzi



Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini ametangaza kuwa atakihama Chama cha Demokrasia na Maendelea (CHADEMA) na kujiunga na Chama cha NCCR-Mageuzi mara atakapomaliza muda wake wa ubunge.

Selasini ametangaza uamuzi huo leo katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dodoma.

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nimefarijika kusikia Hili Selasini, Wana Rombo tuko pamoja na Uamuzi wako katika kuleta maendeleo.

    Chadema inasua sua baada ya Kijana Mchapa kazi Mh Ole Sabaya

    Kutangaza nia ya kuchukua Jimbo, kuleta Uhai kwa WANA HAI.

    HONGERENI SANA WATARAJIWA WA MBATIA.

    NCCR OYEEEE...

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad