Mkazi wa Kijichi aliyefariki aprili 11 alikufa na corona- Waziri wa afya Zanzibar




Waziri wa Afya wa Zanzibar, Hamad Rashid Mohammed amesema mkazi wa Kijichi, Zanzibar mwenye miaka 63 alifariki dunia Aprili 11 kwa ugonjwa wa corona na kuzikwa siku hiyohiyo.

Taarifa hiyo imetolewa leo Jumatano Aprili 15, 2020 na Waziri wa Afya wa Zanzibar, Hamad Rashid Mohammed wakati akitangaza wagonjwa 6 ,wakiwa watano kati ya hao sita ni wanaume na mwanamke mmoja huku Watanzania wakiwa watano na raia mmoja kutoka Misri.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad