Mkubwa Fella Amfungukia Kayumba Baada ya Kudai Ametapeliwa na Mkubwa Fella Kununuliwa Gari Srepa

Mambo ni Magumu sana Mtandaoni.
Kayumba na Mkubwa Fella wajibizana mchana kweupe mitandaoni.
Picha linaanza pale baada ya Meshack Fukuta kumuumba Madam Rita kuhusu Hujuma anazozifanya kwa wasanii wake.
Hii ni baada ya kuonekana ameshindwa kufanya malipo kwa kijana huyo kwa kipindi cha miezi minne.
Ishu hiyo imemuibua Kayumba baada ya kudai kwamba hata yeye pia alidhulumiwa na Madam Rittha kwani aliambulia Video moja, Milioni mbili kwa wazazi wake, Gari skrepa na Pesa Shilingi elfu 15 kwenye Account yake.

Baada ya maneno hayo mkubwa fella alionesha kutupokupendezwa na habari hizo za uongo. Akaandika kupitia ukurasa wake wa instagram Risala iliyisomeka hivi:

BSS 2015 kweli? hivi uyu chizi msema kweli amepambanua au kajaaliwa matusi hivi na kayumba kweli @mkubwafellatmk mbaya kwako au ndio clutch za Town kama si clutch unakumbuka vinzuri BSS fella kasima wapi kwenye muongozo wa life yako mie kwanza nampa pole madam rita kwa swara la kayumba tu. tena madam wewe wa pili nilishawahi kumpa pole msanii mwekezaji Diamondplatnumz wakati usumbufu ulipo tokea WCB aliondoka wa kwanza alijiuliza uyu msanii sijamfanya chochote ananitukanisha Mimi nilimjibu mwanangu ndio ukomavu wa biashara yetu.kuna watu wananiambia hee mmefuga wenyewe acha awatukane mie nawambia atuja mfuga mtu ila tunaeshimu dora na heshima zetu hivi kama chizi msema kweli yeye msafi tunaomba alipe anacho daiwa na msanii wake dogo hamidu BOB 26 O.GENSTAR ,Nyandu Tozzy maana dogo kamfanyisha show dogo ajaambulia cent dogo kaneng'eka katoboa mwenyewe Life goes on sarute ndota.tukiludi upande wangu namini ndio meneja mtakumbukwa sana nikifa tena kwa mazuri japo machache ila kayumba ulinunua gari na ukapata kibanda ujakimalizia tena na video south Africa tena ulijaliwa kuvimba na marafiki wapya ulipata mpaka kama unakumbuka na mwanamke zilikupa na mtoto ukapata na wazazi uliwapatanisha kupitia pesa za BSS kweli unauongozi mpya jitaidi kukumbuka wema ila si lazima.ila sorry mwanangu kayumba 2015 ni mbali inawezekana umepitiwa na walio kuongoza ila nakumbuka.


Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Inaelekea na kusadikika kwa Mchangiaji na Mfundisha huu mchongo kwa Asilimia kubwa ni Mkubwa ndiyo mpelekawatu Darasani.. Safari Mwalimu Umefeli na Kuumbuka.. hamumuogopi Mungu..tutakuamini vipi katika Kata yetu ..?? Marombosa alivyosema Sikumuelewa ila sasa naanza kupata negtivu itabidi kuisafisha ili kupata
    UGLY picture ..Lipeni zawadi HEWA

    ReplyDelete
  2. Inaelekea na kusadikika kuwa Mchangiaji na Mfundishaji huu mchongo kwa Asilimia kubwa ni Mkubwa ndiyo mpeleka watu Darasani.. Safari hii Mwalimu Umefeli na Kuumbuka..

    hamumuogopi Mungu..tutakuamini vipi katika Kata yetu ..??

    Marombosa alivyosema Sikumuelewa ila sasa naanza kupata negativu itabidi kuisafisha ili kupata UGLY picture

    ..Lipeni zawadi HEWA

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad