Mpenzi Wangu Akitongozwa na Wanaume Ananiambia Hii ni Sawa?

*Wadau wa Udaku , Naomba mnipe mwongozo kwa hili la mpenzi wangu.
 *Kuna mambo mawili yamejitokeza hv karibuni:

 * kwanza, juzi alinipigia simu[hatuko mkoa mmoja, anasoma] na katika maongezi akasema kuwa X-boy wake kampigia simu nanukuu.."eti kanipigia simu, nikamuuliza leo umekumbuka nini?....akaniambia eti anakuja huku[alipo huyu demu] mm nikamwambia nasafiri, sitakuwepo"

  *Pili, jana kaniambia "mpenzi kuna sms zinachekesha...ngoja nikuforwadie...sms 1 ilisomeka "nakuhitaji"....
Sms ya Pili ipo hv.."leo umependezaa, nataka nije kwako"..hz sms anadai katumiwa na mshikaji anayeonyesha kumtaka kimapenzi

    *Hapa najiuliza ana maana gani kwa haya?

    #Naombeni mniambie, na kufafanua haya.

    Asanteni sana
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. labda huna chako, kaa mkao wa kulala

    ReplyDelete
  2. Anaweza kuwa Anakpenda kwa dhat kabisa. AU anakuandaa kisaikolojia ili cku ukishka Simu yke uone ni kawaida sababu ulikua unajua.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad