Msemaji wa Maisha ya Watu Mwijaku Afunguka " Rotimi Anamtumia Vanessa MDEE Kupata Mashabiki East Africa"

"Mahusiano ni kitu kipana sana lakini ni lazima mwanamke ujitambue ili kujua ni wapi mahusiano yako yanaelekea, inawezekana Rotimi anamtumia Vanessa ili kupata fan base ya East Africa, lakini sizioni jitihada za Rotimi kumfanya Vanessa apate fan base either Marekani au hata Nigeria, lakini ninachokiona ni Vanessa anatumika sana kumpa fan base Rotimi" - Mwijaku

Kama kinavyojieleza cheo alichojipa mwenyewe "Msemaji wa Maisha ya Watu" ameyasema hayo Mwijaku kwenye #PressRelease ya @CloudsTV

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad