Mshituko: Rafiki Yangu Tuliyeshibana Kumbe Alikuwa Anamla Dada yangu..Eti Sasa Anataka Kumuoa


Hili ni jambo la kushangaza sana, huyu jamaa kwao walikuwa masikini alafu nyumbani kwao ni mbali na shule, hivyo kwa kuwa tulikuwa marafiki tulioshibana na discussion tulikuwa tunafanya pamoja nikamkaribisha nyumbani kwetu akawa kama mtoto wa familia yetu kabisa.

Baba yangu alikuwa anamlipia ada, nguo za shule kuanzia form 3 mpaka form 4 amenunuliwa na baba yangu cha ajabu baada ya kumaliza chuo na kupata kazi amemuoa na kumtundika mimba Dada yangu wa mwisho kweli hii ni sawa!

Niende kwenye harusi yao au nisiende? Nimsalimie au nisimsalimie?

Cha ajabu baba yangu na mama yangu wamekubali umuoe Dada eti kisa wewe ni Dr ataishi maisha mazuri!

Kwa hili rafiki yangu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mwenye dada hakosi shemeji hivyo unatakiwa ufurahi kwa sababu rafiki yako kipenzi ndiye anakuwa shemeji, huyo ameshakuwa ndugu yako si rafiki tena sasa wewe unashangaa nini, mbona ni mambo ya kawaida tu.

    ReplyDelete
  2. Mimi mwenyewe rafiki yangu alikuwa anamla dada yangu na nilikuwa najua lakini nikapotezea hivi sasa huyo rafiki yangu ndite shemeji yangu aliyenisaidia na kunifanya nifanikiwe hivyo wewe mtoa post usiwe na wivu na dada yako, mwenye dada hakosi shemeji.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad