Msigwa Asema ni Lazima Wananchi Kufungiwa ndani Miezi Mitatu Kuepuka Maambukizi ya Corona


Mbunge wa Iringa mjini ( Chadema), Mchungaji Peter Msigwa, amesema maambuki ya ugonjwa wa Corona yanaongezeka ni lazima watu wafungiwe ndani ili kuzuia maambukizi.

” Pona yetu ni kujikinga tu! Complete lockdown haiepukiki. Mipaka ya yote ya nchi ifungwe,” ameandika Msigwa katika ukurasa wake wa twitter.

Alisema kila mwanachama afungiwe ndani kwa miezi mitatu kwa lazima.

“Serikali ya wanyonge isaidie wanyonge chakula ivunje kibubu chote cha taifa,’ amesema Mchungaji Msigwa.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mimi nilimwambia M/Kiti akae siku 60
    Nadhani ameogoea RUZUKU Msije mkatia Ndani katika hiki kipindi cha LALA SALAMA.

    UNLESS UMUAHIDI KAMA MTAMTUMIA TIGO PESA. UNAWEZA KUMUAHIDI HIVYO ILI
    ASALIMIKE NA ATUSALIMISHE..!! Selasini

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad