Mtanzania Akutwa na Corona Nchini Uganda...Kurudishwa Bongo


Wizara ya Afya Uganda imesema idadi ya visa vya corona uganda imebaki 55 kwakuwa idadi ya visa 56 ambayo waliitoa jana ilikuwa na makosa na kusema mgonjwa mpya sio Raia wa Uganda kama walivyosema awali bali ni Mtanzania (Dereva) na wanakamilisha mipango ya kumrejesha Tanzania.

“Mgonjwa mpya ni Mtanzania (34), Dereva wa Lori kutoka DSM ambaye alifika mpaka wa Mutukula April 16,2020, tulipopima sampuli 744 za Madereva mpakani yeye akakutwa na corona, tunamfuatilia ili kumrudisha Tanzania, kwahiyo idadi ya visa Uganda imebaki 55”-WIZARA YA AFYA UGANDA
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad