Mtoto wa miaka 13 auawa wakati polisi wakitekeleza amri ya kutotoka nje Kenya




Polisi wameanza uchunguzi kuhusiana na kifo cha mtoto mwenye umri wa miaka 13 aliyekufa baada ya kupigwa risasi akiwa amesimama kwenye varanda ya nyumba yao, jijini Nairobi, Jumatatu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad