Mtoto wa miaka 6 afariki kutokana na virusi vya corona Kenya



Mtoto wa miaka sita amefariki baada ya kupata maambukizi ya virusi vya Corona nchini Kenya huku idadi ya walioambukizwa ikifikia 122.

Mtoto huyo amefariki katika Hospitali ya Kenyatta na alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya kuwa na kinga dhaifu ya mwili.
OPEN IN BROWSER

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad