Munalove "Hata Nikiwa Muislamu au Mkiristo Haiwahusu"


“Unajua watu wanapenda kumuona mtu akisononeka kila wakati au amebeba maumivu makali kwenye moyo ndiyo furaha yao, Hata Nikiwa Muislamu au Mkiristo Haiwahusu, mimi siwafuatilii acha waongee mpaka wachoke, sina muda ninajua nini ninachokifanya kwenye maisha yangu,” Socialite huyo ameliambia Amani

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad