Mwana FA "Nilikuwa Nimelazwa Temeke, Sijawahi Kufika Amana Wala Mloganzila"
0
April 27, 2020
"Sijawahi kufika Mloganzila wala Amana nilikuwa Temeke tulikuwa tumelazwa watu 5 tu, hamkatazwi kukutana mkazungumza lakini muwe mmejikinga mmevaa gloves na masks" @mwanafa #LiveXXL #CloudsFM
Tags